Tunawezesha vijana kupata mafunzo ya kufanya biashara ambayo utatumia mtaji mdogo zaidi na kuweza kuifanya kukuletea kipato kikubwa kwa muda mfupi